Ungejuaga mapema baada tu kumaliza form four ungeenda kusomea nini na wapi?

Mambo ya uganga wa jadi.
 
Kilimo na uvuvi pamoja na sekta ya madini zinalipa.ukisomea Moja ya hivo vitu na ukavielewa na ukaamua kuifanya wewe Kwa vitendo,uhakika wa kupato kuanzia Cha kati na kuendelea ni uhakika
Aisee nmeipenda hii hebu nieleweshe kdg mana nilipanga kwenda kusomea uvuvi mwaka huu coz nmeona kama n ishu flan ivi ambayo inabamba kipind iki hata usipoajiliwa
 
Ndio kutokujua mambo ya muda, mavyeti yamejaa Ajira Portal ila kazi yake kimsingi sijaiona. Wale waliokimbia shule baada ya Diploma wengi wako mbali sana sahizi.
 
2012 wakati unamaliza form 4 mi ndio nilikuwa naingia ajirani serikalini kutokea private..!!!

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…