oldd vampire
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 253
- 52
wana jf mimi na girlfrnd wangu tuna miaka mi tatu sasa,na katika mtandao fulani wa kijamii amekua akilitumia jina langu miaka mi tatu,hapo juzi ananiambia anataka badili jina aweke her real name,mi nimebaki na maswali mengi kichwan,yeye anasema hana sababu maalum ila ametaka tuu jina lake liwe pale,ila relationship status kasema anaiacha kama ilivo,nisaidieni maana nimekua na mawazo mengi,maybe nam judge wrong,ungekua ww ungefkiriaje?
Usijali hapo hakuna cha ajabu! We muamini tu! Hata hivyo sioni sababu ya yeye kuto tumia jina lake.
Wala usi mtilie wasiwasi kwani dunia haina siri.
Sioni tatizo mkuu.
Ina maana siku zote hizo alikuwa anatumia jina lako la kiume wakati yeye ni msichana? Isije kuwa vimwana wameanza kumshobokea wakifikiri ni kaka! (a joke!)