Ungekubali uolewe na yupi kati ya hawa. . . . ??

na katiza tu hapa..
 
kumbe ndo maana sina mwanaume..watu wamejilimbikizia wenyewe..
kumbe ufisadi hadi kwenye mapenzi upo..
gap baina ya wenye nacho na wasio nacho kumbe ni kila mahali sikujua!...
wenzangu mnahesabu 11 mimi smile nipo 0...daaaah!
smile............ i thought huna mwanaume kwa sababu umeamua kuibania k yako na kuwa bikra? kumbe ni kwa sababu umekosa mwanaume coz ya wengine kujilimbikizia?? Teh teh teh...........!! mwenyekiti wa chama cha wabana k....... si ndo wewe??
 
Hapa sitii neno mtamalizana wenyewe!
 
smile............ i thought huna mwanaume kwa sababu umeamua kuibania k yako na kuwa bikra? kumbe ni kwa sababu umekosa mwanaume coz ya wengine kujilimbikizia?? Teh teh teh...........!! mwenyekiti wa chama cha wabana k....... si ndo wewe??

Nani ana bikra?..naomba umtake radhi. Umemsingizia sana sababu mtoto ana roho nzuri. Ulishamuomba akakunyima?. sema yupo busy tu.
ulicho pewa na Mungu bure kumnyima mwanaume dhambi. Mia
 
Hivi umefikiria nini lakini???!!!!
 
Mmmmmhhh! Mpaka umpate mwanamke mwenye hofu ya mungu maisha haya, unahitaji kuwa na macho ya rohoni

Ni kweli Comi, macho ya rohoni ni kwamba uwe umeokoka, tena wake wema wapo, wazuri wenye vigezo vyote. Tatizo ni wale watafutaji mko kidunia zaidi.
 
what a poor selection of men!! kumbe wanawake mna kazi, poleni sana.
 
Wote ni Afadhali isipokua namba 1,6 na 10 maana tabia za hawa waliobakia zinarekebika kulikoni za namba 1,6,na 10. Inawezekana kumshawishi na kumuelimisha akapunguza au kuacha ulevi na ukorofi. Ila pia inawezekana wakaagiza pombe na kuinywa wakiwa nyumbani. Lakini kwa anaepatikana nyumbani mara mbili na wale wenye tabia za ukicheche, wanahatarisha usalama na mshikamano wa ndoa zao hata kama wanatoa fedha za kutosha kwa matumizi ya nyumbani.

Cha kukumbuka ni kwamba, alipooa au kuolewa hakufanya hivo ili kuja kumwacha mwenzake peke yake, na kutoa matumizi si lengo kuu la kuoana. Cha msingi ni kuishi pamoja, then kinachotakiwa ni KU-MAXIMAIZ MUDA WA KUKAA PAMOJA yaani frequency ya kuonana iwe kubwa
 
dah!!smile usiwaze mi pia sina niko available cse sina kipato kikubwa,sura ya kikauzu laana sema sio moyoni,black kama ukuta wa jiko na kuni,miraster kama mikia ya taa.sina gari ila na baskeli,naishi uswailini mbaya ngalelo japo sinywi za kienyeji,laabda ndo maana sijabahatika kupendwa.unaonaje ntakufaa
kumbe ndo maana sina mwanaume..watu wamejilimbikizia wenyewe..
kumbe ufisadi hadi kwenye mapenzi upo..
gap baina ya wenye nacho na wasio nacho kumbe ni kila mahali sikujua!...
wenzangu mnahesabu 11 mimi smile nipo 0...daaaah!
 
Kwakua mie ni mkali nadhani naweza kuolewa na na na na a a a a a!!!!! Nimekumbuka huyo wa (11) hebu EIYER piga hesabu ya faster faster yaaaani MKALI a.k.a. muonja kilaji + mkorofi,mlevi =..........................
 
yani kungekwua na uwezo wa kulike X50 kwa pamoja ningelike...

haya pokea hata hiyo moja basi Caroline Danzi

Thanks darling, yote yawezekana kwa yule aaminiye. Hata yule shemeji yangu anaye ku-monitor kwa simu naamini anakupenda sana, anza kuomba huo wivu utokemee katika Jina la Yesu Kristo wa Nazareth!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…