Ungekubali uolewe na yupi kati ya hawa. . . . ??


Sitaki kutia neno hapo bana!
 
kumbe kwolifikesheni ya kitanda nayo inazingatiwa eeeh?
 
kumbe ndo maana sina mwanaume..watu wamejilimbikizia wenyewe..
kumbe ufisadi hadi kwenye mapenzi upo..
gap baina ya wenye nacho na wasio nacho kumbe ni kila mahali sikujua!...
wenzangu mnahesabu 11 mimi smile nipo 0...daaaah!

umenichekesha sana smile.lol!
 
Ni kweli Comi, macho ya rohoni ni kwamba uwe umeokoka, tena wake wema wapo, wazuri wenye vigezo vyote. Tatizo ni wale watafutaji mko kidunia zaidi.

na
awe
anasali
kwa
gwajima
kawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…