Ungekuwa ewe ungekubali?Japo inachekesha lakini soma hivohivo.

Ungekuwa ewe ungekubali?Japo inachekesha lakini soma hivohivo.

PharaohMtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2023
Posts
713
Reaction score
1,208
Wakuu salaama!

Nikawaida sana sisi wanaume kutongoza Tena bila kujari mwanamke anacheo Gani kaolewa ana mchumba au lah.

Mara zote yeye ndo husema kama ana mtu ama ana kazi gani.

Mdada mmoja nilipendezwa nae basi licha ya kuwa najua kazi yake kuwa ni Dr haikunifanya nisite kumtongoza.

Nilikuomba mawasiliano yake akanipa. Nikajisemea hii Ni Vyema Na Haki kabisaa.

Weekend Moja nikamtoa out tukala tukanywa then nikamweleza shida yangu kwamba nataka mablessing yake.

Dr yule akachomoa huku na huku wapi. Nikaona isiwe tabu nikapiga chini.

Ikatokea nikaugua jipu sehem nyeti kabisaa. Nikavunga kama siku3 tatu natumia tiba asili bila matokeo na vile lilikuwa vibaya maumivu yakazidi mno.

Maamzi ya mwisho ni kwenda kwenye kituo cha afya.

Ajabu ni kamkuta yule Dr niliyeomba mablessing. 😂😂😂

Naingia kwenye chumba Hivi kwanza nikaduwaa nilipo muona nikajisemea nibadirishe ugonjwa nn😂😂

Nikiwa pale akatabathamu Kisha akaniambia karibu sana.

Nikatoa maelezo bila kuficha kitu. Demu kanambia vua nione 😆😆

Nikamwambia hapana siwezi vua kama hakuna Dr mwingine tofauti nawewe au Dr yeyote wakiume niruhusu niondoke.

Huku na kule wapi nimekataa ikabidi ampigie simu Dr mwingine akaja akanipeleka kwenye chumba akingine 😂😂

Wakuu kukataa anikatae halafu uchi wangu auone live na kamesinyaa niligoma.

Kuanzia hapo tunacheka mno Kila tunapokutana ama kusalimiana Kwa simu.

Je ungekuwa wewe ungefanyaje?
 
Wakuu kukataa anikatae halafu uchi wangu auone live na kamesinyaa niligoma.
FB_IMG_17158766215935347.jpg
 
Sawa lakini sio Kwa mazingira Yale. Hapo ni sawa na kubeti na huenda angeona kinyaa siku zote Wacha ibakie kuwa Siri yangu tu😆😆
Hii ndo ilikuwa nafasi yako, angeanza kukutafuta wewe kwa udi na uvumba.

Yawezekana style ya kichwa kilivyochongwa ingemvutia huwezi jua....
 
Back
Top Bottom