hiram
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 266
- 393
Hivi ungekuwa wewe ndiye MCHAWI uchague moja kati ya hivi:
MOJA
Ubuni teknolojia ya kufanya shamba lijilime, lijipalilie na lijivune
PILI
Ubuni teknolojia ya kufungua mlango wa mtu (ikiwemo wa geti) uingie chumbani umnyanyue bila huyo mtu kuamka ukamlimishe fasta fasta kisha umrudishe bila kushtuka ipi rahisi hapo?
Kwanini wachawi wanachagua hiyo ya pili?