Funguka tu mdada.Yaan mim ambacho ningekifanya hee
Ngoj nitarud tu kufungukFunguka tu mdada.
Naanza kukupenda subiri giza liingieYaan mim ambacho ningekifanya hee
[emoji144] [emoji144] [emoji144]Naanza kukupenda subiri giza liingie
Hapo kwenye blue umenivunja mbavuMleta uzi una hulka kama za Sizonje maana sio kwa jazba hizo.
Ila mimi ningekuwa Mod ningeacha kama hivi ilivyo maana JF ipo good ila ningepunguza tu BAN kwa wale wanaowatukana wenzao kwa sababu kuna wakati mtu unakosa jinsi unajistukia umeshaandika tusi kulifuta unaona uvivu.