Ungekuwa ni wewe ungefanyaje?

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,656
Je ungekuwa wewe ndo huyo mwenye shati nyeupe ungefanya nini?

 
Hii ni kanyanga jamaa yuko full dresses wapi na wapi? Au mchezo wa kuigiza?
 
Hii ni kanyanga jamaa yuko full dresses wapi na wapi? Au mchezo wa kuigiza?

Ray B,..Jamaa haulizi kama hii ni kweli au ya kubuni, anachotaka ni kupata maoni kama ungekuwa wewe umepatikana na masahibu ya hivi ungejiokoa vipi!...Hakika hapa ni kimbembe...labda kama unamzidi nguvu jamaa, ni kumvaa, vinginevyo uombe msamaha na kugaragara chini!
 

Oyaaa PJ ulipotelea wapi mzazi?
 
Oyaaa PJ ulipotelea wapi mzazi?

..Si unajua broda mishemishe za mujini humu!!...nilienda kuongeza kengine ka pili!..but i hope everything is fine out there!..sivyo?
 

Ohoo then hapo nadhani ni kutoka na dirisha tu tatizo ni kama multiple storey na uko floor ya juu kazi nnooo
 
...Hakuna haja ya kuomba msamaha. Ukishaona hali imekuwa hivyo iwe zangu au zake namalizana nae tu huyo jamaa nikilipata hilo panga namkwangua masikio then nachimba maana yeye akikushika hatakuacha hata kidogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…