Ungekuwa tajiri ungefanya nini?

Ungekuwa tajiri ungefanya nini?

Ningesomesha watoto yatima na wasiokuwa na uwezo…lakini pia ningehakikisha wazee,walemavu na wasiojiweza wanaishi maisha mazuri.ninaimani ningeacha jina kubwa sana kwa raia wenye maisha ya ufukara na umasikini
 
Back
Top Bottom