Jumakidogo
R I P
- Jul 16, 2009
- 1,851
- 420
<br />kuna jamaa mmoja majuzi alikuta pakiti ya kondomu katika pochi ya mke wake ambayo ilikuwa imebaki na kondomu moja, kwa maana hiyo pengine zilikuwa zimetumika mbili kwani kwa kawaida huwa zinakaa tatu. Kwa mastaajabu makubwa alimpongeza mke wake kwa kuonyesha kuwa anajali na akaahidi kumtoa outing mwishoni wa wiki. Je ungelikuwa wewe ungechukua hatua gani?.
Paukwaaaaa........... Pakawa........kuna jamaa mmoja majuzi alikuta pakiti ya kondomu katika pochi ya mke wake ambayo ilikuwa imebaki na kondomu moja, kwa maana hiyo pengine zilikuwa zimetumika mbili kwani kwa kawaida huwa zinakaa tatu. Kwa mastaajabu makubwa alimpongeza mke wake kwa kuonyesha kuwa anajali na akaahidi kumtoa outing mwishoni wa wiki. Je ungelikuwa wewe ungechukua hatua gani?.
<br />Paukwaaaaa........... Pakawa........<br />
Katokea chenjegawa kajenga nyumba kakaa.........<br />
Hadithi hadithi
Umejitahdi kutunga hiyo hadithi,,
Paukwaaaaa........... Pakawa........
Katokea chenjegawa kajenga nyumba kakaa.........
Hadithi hadithi