Ungekuwa wewe Tuzo ungempa nani?

Ungekuwa wewe Tuzo ungempa nani?

lulu za uru

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2015
Posts
2,557
Reaction score
3,221
Kuna wanamuziki wengi wakali sana mf.twenty percent,belle9,quchilla,ben paul nk. waigizaji wakali sana kina bi.star,muhogo mchungu,kina senga na wengine weng yaan huwa hawaonekan kwny tuzo lkn wana vipaji vya ukwl pengine kwa kukosa promo au kukosa management nzr ama nyota tu mbovu unadhan nan unamkubal ila unaona kama anabaniwa tuzo?
 
Sasa hao uliowataja wanafanya vizuri wapi?? kama kwa Tanzania sawa, ila sio afrika mashariki wala Afrika..
 
ni kwa Tz ndiyo lkn wangepata gud support , management,wakawa na moyo wa kujituma kama baba Tifa, walah hata nje ya TZ Wangevuma. ...
 
Kimsanii chetu kimenyooshwa hadi kimeomba poo, kimesema sasa hivi hata kikichaguliwa hakataomba kura,timu sauti nzuri njooni mujifariji kwenye huu uzi mumpe tuzo mlinzi wa tembo.
 
Kimsanii chetu kimenyooshwa hadi kimeomba poo, kimesema sasa hivi hata kikichaguliwa hakataomba kura,timu sauti nzuri njooni mujifariji kwenye huu uzi mumpe tuzo mlinzi wa tembo.

Pole pole mkuu
 
Mi nafikiri Le Mutuz Le mbebez you know. Kufwa for me anajitahidi sana inabidi apewe tuzo Afrimma, MTV, Kili award na Grammy.
 
Mi nafikiri Le Mutuz Le mbebez you know. Kufwa for me anajitahidi sana inabidi apewe tuzo Afrimma, MTV, Kili award na Grammy.

huyu jamaa kila mtu aneshinda ubunge kwa CCM ni rafiki yake le akili kubwaz
 
christian bella,barnaba boy classic,ben paul, belle 9,quichila,bananazoro,2op.cent (asilimaire),tid..vipaji damuni..
 
V .PESA V.MONEY.vaneymdee yuko vzr mtoto halafu hana pupa wala mapepe!..
 
Back
Top Bottom