lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Kimsanii chetu kimenyooshwa hadi kimeomba poo, kimesema sasa hivi hata kikichaguliwa hakataomba kura,timu sauti nzuri njooni mujifariji kwenye huu uzi mumpe tuzo mlinzi wa tembo.
Mi nafikiri Le Mutuz Le mbebez you know. Kufwa for me anajitahidi sana inabidi apewe tuzo Afrimma, MTV, Kili award na Grammy.
Rich mavokali ila simwelewi siku hizi labda kakata tamaa
Taifa Star