Zuia Sayayi
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 841
- 134
Hii thread si imesha jibiwa na wataalam?
Jaman wana jf kuna kabinti 2napendana sana lkn hanijui wala cmjui but 2najuana kwa cm 2 na yeye anaonekana ananipenda coz haipiti cku bila kunipigia cm na wakati mwingine hunipigia cm na huni2mia hata vocha na kunisihi nisome kwa bidii huku akini sms kuwa nisimsahau maisha jaman naomaen ushauri, huyu she ananipenda kweli...? :
Mkuu kwani mapenzi si sura jaman,basi hata huyo pinda asingepata mke!usimwogopeshe mdau bwana!kama hujamwona kwa macho ni noma Mkuu. Anaweza kuwa anasura kama ya Pinda!
Hijalishi mmekutana wapi, cha msingi fanya mpango mkutane,na muongee mpeane mda wa kufahamiana na ukiona mnaendana na vigezo vya mke unaemtaka wewe vipo basi sema nae manze rasmi safari ya mapenz na km ukaonna hamuendani na vigezo uvitakavyo hana mwambie mapema ili ajue na asiwe na malengo nawe!Jaman wana jf kuna kabinti 2napendana sana lkn hanijui wala cmjui but 2najuana kwa cm 2 na yeye anaonekana ananipenda coz haipiti cku bila kunipigia cm na wakati mwingine hunipigia cm na huni2mia hata vocha na kunisihi nisome kwa bidii huku akini sms kuwa nisimsahau maisha jaman naomaen ushauri, huyu she ananipenda kweli...? :
thethethet! Pindaaaaa njoo uwaone hawa wanakutusii! Jamani jamani!! Jf rahaa utamuuukama hujamwona kwa macho ni noma mkuu. Anaweza kuwa anasura kama ya pinda!
Wataalam Wamelala Lakini watakujibu wakiamka, lakini weka mambo hadharani mlifahamiana wapi au ktk mitandao ya kijamii?
kuwa mwangalifu, haiwezekani kumpenda mtu ambaye hujaona hata picha yake, usijidanganye muo
nekano wa mtu ni muhimu ktk swala zima la mapenzi. huyo hajakupenda bali anapenda sms zako na sauti yako the same to you.