Ungekuwa wewe ungefanyaje?

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
4,664
Reaction score
9,929
Leo tuzungumzie mazingira ambayo huleta utata katika mahusiano ambayo huweza tokea mfano;

Simu ya mwenza wako inapata tatizo ambalo kinasababisha simu kutofanya kazi siku zaidi ya nne, unaamua ichukua simu unaipeleka kwa fundi, fundi anaitengeneza anakwambia tayari simu imepona basi unataka ujiridhishe, je simu imepona kweli ile unawasha simu tu hivi inaingia meseji yenye ujumbe huu. "ANDAA MAZINGIRA NAKUJA KWA AJILI YAKO LEO"

Ukiangalia namba ni ngeni huijui meseji imekuja tu, je ungekuwa wewe ungefanyaje?
 
nampelekea mwenye simu......atakuwa ni shost ake uyo!!!!!!!
 
Chukua simu chati nae na umwelekeze ulipo then unamwambia mpenz wako njoo unawakutanisha woooote na ushahid juu kwisha kazi
 
Ndio hapo kihere here cha kujipa majukum yasio yako yakuishe.

Kama hujamuoa mambo ya kuchunguza simu Ni kuweka uhusiano rehani......

Watu wanaishi kwa kuviziana. Kila mtu ana substitute zake

Ke wana sponsors kadhaa....

Me wana side chicks kadhaa
 
Walaa! Silaha kama zina uhakika sasa ikiwa hata uhakika nazo sina silaha za nini sasa hapo.
Ha ha ha bas nina simu moja ilizma ghafla tu acha niipitshe kwako ukafanye msaada ila stak povu
 
Ha ha ha bas nina simu moja ilizma ghafla tu acha niipitshe kwako ukafanye msaada ila stak povu
Hahaaa! Kama unaileta kwa lengo la povu lazima liwepo ila kama kwa ajili ya kutengenezwa tu aa itatengenezwa na utarudishiwa.
 
Ndio hapo kihere here cha kujipa majukum yasio yako yakuishe.

Kama hujamuoa mambo ya kuchunguza simu Ni kuweka uhusiano rehani......

Watu wanaishi kwa kuviziana. Kila mtu ana substitute zake

Ke wana sponsors kadhaa....

Me wana side chicks kadhaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaaa! Kama unaileta kwa lengo la povu lazima liwepo ila kama kwa ajili ya kutengenezwa tu aa itatengenezwa na utarudishiwa.
Irudshwe bila kukaguliwa labda kama moyo wako umeupeleka service
 
Nampa mwenyewe simu yake then naenda maeneo karibu na home natega mtego
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…