Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,595
- 3,670
Mko kwenye Ndege halafu ghafla unasikia tangazo lifuatalo..
"Mabibi na Mabwana, Mimi ni Rubani wenu Naeongea, ..Ukiangalia upande wako wa kulia Utaiona Flight namba 195 inajaribu kupambana na sisi katika mbio"
"Hivyo Nawaomba mfunge mikanda yenu vizuri maana mpambano unaenda kuanza rasmi"