Ungekuwa Wewe Ungefanyaje?

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,595
Reaction score
3,670
Mko kwenye Ndege halafu ghafla unasikia tangazo lifuatalo..

"Mabibi na Mabwana, Mimi ni Rubani wenu Naeongea, ..Ukiangalia upande wako wa kulia Utaiona Flight namba 195 inajaribu kupambana na sisi katika mbio"

"Hivyo Nawaomba mfunge mikanda yenu vizuri maana mpambano unaenda kuanza rasmi"
 
ningefunga mkanda na kuweka headphones sikioni kusikiliza music
 
Mkuu upo angani unaskia hiyo announcement utafanya kitu gani zaidi ya kusubiri "Final destination" ingekuwa gari au treni kidogo lakini ndege inabidi uwe mpole na kutubia
 
Ha haa,,me nngem text pilot kuwa afanye juu chini huyo boya asitupite [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…