Ungekuwa wewe ungefanyaje?

kwahiyo ni mwendo wa kipigo kwa kwenda mbele.Nalog off
 
Hii kweli kali, hapa patakuwa TUNDURU bila shaka. Yaani unarudi toka safari unakutana na Lion????? Duh, Simba si mchezo baba maana angenitafuna ina maana jamaa angeendelea kujirusha naye, hivyo mimi nitamshukuru na kumpa zawadi ya my wife wangu maana kaniokoa na mauti. Mie nitatafuta kijiwe kingine
 
Mkuu hapa zawadi pekee ya huyo mwizi wako ni kumkabidhi huyo 'my-wife' aondoke nae tu. Msaada alioutoa kwa maisha yangu ni mkubwa sana, lakini maumivu yatakayo sababishwa na kitendo cha 'my-wife' ni makubwa zaidi. 'My-wife' ni mtu ambae hastahili kuwa karibu na mimi tena, after all hata kama nilinusurika na kifo kutokana na simba, ni wazi kwamba bado 'my-wife' pia anaweza kunisababishia kifo kwa namna nyingine. Asante mkuu kwa hii "paukwa pakawa" yako.
 
unatafuta sehemu ya kuweka jiwe la msingi.Nalog off
 
bora kumtia chaka my wife wako au sio? kipeperushe kipepeo,kipeperushe.Nalog off
 
Duh! Jamaa kaja'aliwa, kampiga simba na mchi hadi kakimbia.
 
Kwanza unampa shukrani kwa kukuokoa halafu kinachofuata ni kipigo ch kufa mtu.....
 
Nikifika ndani kwanza nampa 'Shikamoo mwizi wangu' na zawadi yake aondoke na huyo aliyekuwa mke wangu nianze upya.
 
Aise hupendi vurugu kabisa.
Yanini malumbano ? ukitembea mitaani unaona wangapi wazuri kila siku ? sitapigania mwanamke hata siku moja,kata mti panda mti nashangaa watu kutoana manundu/damu kwa ajili ya totoz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…