Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Usimuue!
Ni yeye alinunua lile Land Cruiser VX nililokununulia, alilipia hii nyumba tunayomiliki sasa, alinipa zile pesa tulikuwa tunadaiwa na benki na analipia tiketi zetu zote tunavyoendaga maonyesho. Ndiye pia anayelipia ada za watoto wetu, hata iyo suti uliyovaa na nyingine. Pia analipa kodi zetu za kila mwezi!
Bora lawama kuliko fedheha....
hahhhahahhaha usisahau kwamba jamaaa ndio anakuweka mjini maana hata uwezo wa kulipia watoto shule hana uwezo wa kulipa bills za kila mwezi hata kununua suti zake hawezii na usafiri anaotumia kanunua jamaaaa hahhahaha thats means jamaaa analelewa na huyo mwanamke kwahiyo hakuna cha kufa kiume hapo yeye mwenyewe kaolewa tuuuuuuuduh hapo jamaa amevuka mipaka manake anakula utamu wangu kitandani kwangu, lazima ningetoa maamuzi ya kiume,ningemfanyia tohara kwa mara ya pili na kumpaka bandeji yenye chumvi.
Suala hapa ungekuwa wewe ungefanyeje,
Ningekuwa mimi sina haja ya kumjeruhi mtu yeyote, ningekaa pembeni na dereva taxi halafu nitamwambia wamalizie kwa mechi yao. Halafu tuanze mjadala baina ya watu wote wanne.
Halafu baada ya hapo namwambia mwanamke, huyo ndiye mme wako na aondoka naye wakati huohuo. Na hapo mwanamke asieleze kitu maana wamekutwa LIVE na dereva taxi ni shahidi.