...Ungekuwa wewe ungefanyeje


Hii ni ngumu kumeza mkuu!
 
hapo ni kimya kimya,then home tutakuwa tunasomeana ramani nani aanze kuleta hizo story manaake wote ni majambazi tu..ni ishu
 
mnakomaa na ndoa tu wote mkiwa na nyuso za mbuzi, no retreat no surrender...
 
unavumilia tu mkifika nyumbani mkubaliane kuanza kurasa mpya nakuacha mapito
 
Action and reaction are equal but act in opposite direction
 
mwanaume anateleza lkn mwanake ni msaliti na mhuni ndivo tunavowahukumu-
aisee ingekuwa mm fasta talaka 7 na kila kitu namwachia naenda kuanza life upya
 
Hapo ni sawa sababu tabia zenu zumefanana.
hivi vitu vinatokea sana hasa town ndogo ndogo
ambapo guest za kuaminika ni chache.
 
Mnawaacha wanawake waka grind na nyinyi mnakwenda kuji cameroon CBC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…