Ungelikua ni wewe ungelifanya nini?

Sio hivyo bro, kama mtu humtaki, kwa nini uwe na namba yake?
Si ni mbwa, sasa wewe kwa nini unakuwa na mawasiliano na Mbwa?
Ni kaneno kadogo, lakin mi nikijipima hadi nikuite Mbwa, ujue dah.........
a gud say jombii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…