Ungemwambia nini mke wako kama ungekuwa umeenda kuchepuka kwenye hotel ya Themihill halafu ikafungwa

Ungemwambia nini mke wako kama ungekuwa umeenda kuchepuka kwenye hotel ya Themihill halafu ikafungwa

The Initiator huru

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
1,993
Reaction score
2,635
Nimewaza tuu, hivi ndio ukute umeenda kuchepuka na manzi kwenye hoteli kama hiyo ya themi hill alafu ndio yanatokea hayo ya mgonjwa wa corona then inafungwa. Utaambia nn mke wako au mke utaambia nn mume wako??
Tuendelee kuchukua tahadhari
 
Unaweza Andika Txt Na Kufuta Zaidi Ya Mara Mia Then Unazima Sim Na Kuwasha Bt Bado Hujapata Sentesi Yakumweleza...

Nami Nimeza Tu
 
Tulikuwa tunakunywa na rafiki zangu mara naona tunavamiwa na serikali hakuna kutoka wala kuingia ,Mbona rahisi tu
 
Back
Top Bottom