T The Initiator huru JF-Expert Member Joined Dec 4, 2017 Posts 1,993 Reaction score 2,635 Mar 17, 2020 #1 Nimewaza tuu, hivi ndio ukute umeenda kuchepuka na manzi kwenye hoteli kama hiyo ya themi hill alafu ndio yanatokea hayo ya mgonjwa wa corona then inafungwa. Utaambia nn mke wako au mke utaambia nn mume wako?? Tuendelee kuchukua tahadhari
Nimewaza tuu, hivi ndio ukute umeenda kuchepuka na manzi kwenye hoteli kama hiyo ya themi hill alafu ndio yanatokea hayo ya mgonjwa wa corona then inafungwa. Utaambia nn mke wako au mke utaambia nn mume wako?? Tuendelee kuchukua tahadhari
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,335 Reaction score 29,114 Mar 17, 2020 #2 Hivi kwanza hizo bills zote atalipa bwana Mrisho..?
Ismoo JF-Expert Member Joined Apr 18, 2018 Posts 1,101 Reaction score 1,573 Mar 17, 2020 #3 Unaomba dunia isimame ushuke , [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
Unaomba dunia isimame ushuke , [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 48,444 Reaction score 194,235 Mar 17, 2020 #4 Za mwizi 40. 40 yangu itakuwa imefika
Y yuzazifu JF-Expert Member Joined Oct 6, 2018 Posts 5,108 Reaction score 9,436 Mar 17, 2020 #5 Unaweza Andika Txt Na Kufuta Zaidi Ya Mara Mia Then Unazima Sim Na Kuwasha Bt Bado Hujapata Sentesi Yakumweleza... Nami Nimeza Tu
Unaweza Andika Txt Na Kufuta Zaidi Ya Mara Mia Then Unazima Sim Na Kuwasha Bt Bado Hujapata Sentesi Yakumweleza... Nami Nimeza Tu
UNSPECIFIED JF-Expert Member Joined Sep 13, 2017 Posts 792 Reaction score 2,609 Mar 17, 2020 #6 Tulikuwa tunakunywa na rafiki zangu mara naona tunavamiwa na serikali hakuna kutoka wala kuingia ,Mbona rahisi tu
Tulikuwa tunakunywa na rafiki zangu mara naona tunavamiwa na serikali hakuna kutoka wala kuingia ,Mbona rahisi tu
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Mar 17, 2020 #7 Uwiiiiiiiiiih[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] itaeleweka hapohapo Sent using Jamii Forums mobile app
Uwiiiiiiiiiih[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] itaeleweka hapohapo Sent using Jamii Forums mobile app