Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Bwawa la kuzalisha umeme la Stiglaz GoujiFunguka bila hofu..mimi ningependa kifuatacho kiwe..View attachment 1676289
Laiti kama hiyo rehabilitation project ya reli ya meter gauge angefanya kwa njia ya kigoma na mpanda tungepata faida kubwa sana kwasababu mizigo na abiria wengi huenda huko.Ujirani mwema na majirani
Hahaha naunga mkono hojaMikarafuu ya Pemba ikaoteshwe Chato ili wasukuma wanukie marashi