Mtanzatozo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 971
- 1,165
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babuuuh vip mjukuu kakushinda malezi?Duh[emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nashauri, ili kuwe na uratibu na usimamizi mzuri wa mambo ya Chato, ianzishwe wizara mpya ya kushughulikia mambo ya Chato. Au nakosea ndugu zangu?Funguka bila hofu..mimi ningependa kifuatacho kiwe..View attachment 1676289
Serengeti National ParkFunguka bila hofu..mimi ningependa kifuatacho kiwe..View attachment 1676289
Ooooh mzazi wake akijua hutatumiwa pesa za matumizi, hebu jitahidi naweee ktk malezi.Kashindikana kabisa[emoji23]
100%CCM=CHATO CHAMWINO MAGOGONI
Ankali wangu upo sina wasiwasi..akileta uchaguzi tunamrushia kipapai tu