Ungependa Kuwa Na Nywele Ndefu Zinazong'aa?


Sasa hapa mkuu kuna vitu haviko wazi. Ndizi aina gani? Malindi, mkono wa tembo, kisukari, njoge au. Na iwe imeiva au mbichi? Yai la kienyeji au yale mengine? Mafuta ya olive, product ya nani? Rafael Salgado au yale ya kariakoo? Lakini kazi ya asali sio kukausha vitu kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…