Katika mwisho huu wa mwaka hasa siku kuu ya X-MASS na MWAKA MPYA ungependa kumpa MUME, MKE au MPENZI wako zawadi gani? Ili kumuonyesha kwamba unampenda.

A vintage watch. Baada ya kuiona katika matangazo akaitafuta sana na akaikosa (out of stock). Nimeipata mpya na box lake on ebay from a collector ambae anashida ya pesa... I know he will love it.