Ungepewa chance ya kuirudia/relive moment moja katika maisha yako, ungechagua ipi?

Ungepewa chance ya kuirudia/relive moment moja katika maisha yako, ungechagua ipi?

stritglow

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2018
Posts
622
Reaction score
1,750
Life is a collection of memories. Lakini kuna memories zingine ukizikumbuka, iwe kwa sababu moja au nyingine, unatamani hata ungeweza kuirudia tena, uwe in that moment again.

So kwako, what moment/memory ungependa kuirudia maishani mwako kama ingewezekana.

"Some nights I wish I could go back in life. Not to change shit, just to feel a couple things twice" - Drake, 6PM in New York
 
Siku niliyozaliwa natamani ijurudie kwenye maisha yangu siwezi kuisahau.. Nilifurahi kuona watu niliokuwa nawasikia kupitia tumboni kwa mama
 
Akitokea mdada atamani kurudishiwa bikra yake mniambiee!, ninayo dawa [emoji23][emoji23]
 
Kila moment huja kwa maana!! Nazitamani sana siku zijazo kuliko zilizopita, sioni pa kurudia!!
 
Back
Top Bottom