Ungepewa nafasi ya kuchagua, ungechagua nini?

Ungepewa nafasi ya kuchagua, ungechagua nini?

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,952
Kuna watu wanaamini walipo si sahihi. Lakini wanajikuta hawana jinsi.

Mfano katika masuala ya uraia, kabila, mahusiano, rangi, umbile nk

Sasa mfano ungepewa nafasi ya kuchagua UNGECHAGUA nini hasa katika hivi vifuatavyo?

NCHI
MKOA
KABILA
UMBILE
BABA
na je? Mkeo au mumeo ungemchagua huyo huto????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuto kujikubali na kujiamini ndio huleta mawazo kama haya ya mleta mada huwezi badili kitu hivyo ndivyo hulivyo mzee wangu 😎
 
Nchi babaaa! Hamilton Ontario, Canada moja hiyo.
 
Back
Top Bottom