Yaani wewe upo kama mm, isipokuwa ladj sijamfatilia comment na thread zakeAisee mimi ningeanza na hawa
1.Monnica
2.Ladyj
3.Lizaboni
Wana wivu kweli wadada hawa[emoji2] [emoji2]
Je wewe ungeanza na nani?
View attachment 429251
kwahiyo wewe sio mmoja kati ya wanaomjua?Wanaomjua wanasema ni "ke"
Ebu imajini jf wote tuwe na mtazamo mmoja, kitaboa sana! Mitazamo tofauti ya watu tofauti ndo inafanya jukwaa lichangamke, kwa mimi wale walio quiet na wala hawachangii ningewapa BAN ya laifu.Aisee mimi ningeanza na hawa
1.Monnica
2.Ladyj
3.Lizaboni
Wana wivu kweli wadada hawa[emoji2] [emoji2]
Je wewe ungeanza na nani?
View attachment 429251
In most cases. Kwa hiyo kama mnatumia internet ya ofisi ku access mtandao, wengi mtaathirika kama mko JF. Take note of that. Kuna mmoja alikuja kulalamika kwamba hapati JF akiwa ofisini, kumbe kuna mwenzake aliandika takataka, akala ban ya IP. Ikala kwao wote kwenye ofisi ile.Ina waathiri hata wenye Device zaidi ya moja?
JF inabidi ifikiri upya juu ya BAN, hapa tunaexpress mawazo na siyo Identities.In most cases. Kwa hiyo kama mnatumia internet ya ofisi ku access mtandao, wengi mtaathirika kama mko JF. Take note of that. Kuna mmoja alikuja kulalamika kwamba hapati JF akiwa ofisini, kumbe kuna mwenzake aliandika takataka, akala ban ya IP. Ikala kwao wote kwenye ofisi ile.
Aisee mimi ningeanza na hawa
1.Monnica
2.Ladyj
3.Lizaboni
Wana wivu kweli wadada hawa[emoji2] [emoji2]
Je wewe ungeanza na nani?
View attachment 429251
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23]
Dume
Pamoja na kwamba kuna watu wana midomo michafu humu JF na kuandika takataka kila siku, nimejifunza kuwavumilia ambao napishana nao kimawazo. Sidhani kama ban ni nzuriAisee mimi ningeanza na hawa
1.Monnica
2.Ladyj
3.Lizaboni
Wana wivu kweli hawa[emoji2] [emoji2]
Je wewe ungeanza na nani?
View attachment 429251
Mara paaap hii ID ni ya mwanaumeAisee mimi ningeanza na hawa
1.Monnica
2.Ladyj
3.Lizaboni
Wana wivu kweli hawa[emoji2] [emoji2]
Je wewe ungeanza na nani?
View attachment 429251