Ujue nitakuremove[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mara paaap hii ID ni ya mwanaume
mimi ingewaondoa wooote wanaoonekana wana chembechembe za u CCM
Lemutuz ni wa kugonga life ban kabsaNingempiga ban LEMUTUZ NATION [emoji23][emoji23][emoji23], alafu ningemtoa kwenye ban Deo kisandu
Sent using Jamii Forums mobile app
Demokrasia ipi unayoizungumzia wewe mkuu? Ya kupigana risasi hadharani mchana kweupe ama?So you want to Say JF ni chama cha Upinzani. Basi Demokrasia tutaisikia Ahera
Ningeunganisha ID zako zote
Siwezi kukutaja mchepuko wangu wa zamani
Hawara hatongozwi. Uko wapi mida hii?Siwezi kukutaja mchepuko wangu wa zamani