Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
mm sio men ila ningeendelea na kukimbia kwangu then mama akija home tutamalizana ju kwa ju.........kwanza uhai loh!
sasa huoni kwamba nitapunguza kasi ya kuweza kukamatwa na mshikaji?Nalog offKama ikikutokea siku moja nakushauri ufanye yote kwa mpigo.Yaani unamzingua huyo mla denda la mkeo na wakati huohuo uko kwenye marathon mbaya kuokoa nafsi yako
utalitoa wapi hilo rungu mkuu wakati unakimbizwa?Nalog offNamrushia rungu kwa mbali akimbie then nalianzisha bifu later!
hahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa habari ndio iyo nafsi yangu mie kwanza loh!yarabi nafsi yangu ama sio.Nalog off
sasa huoni kwamba nitapunguza kasi ya kuweza kukamatwa na mshikaji?Nalog off
Nipo ndugu yangu,endelea kutafakari ni hatua ipi ungechukua? Nalog offMzee wa kulog off,daah!Nimecheka kwa kweli sijui ningefanyaje!
Hata njiwa wanalana denda halina mpango wala nini! Nalog offUnaokoa maisha kwanza. Denda kitu gani wewe? 28-58 Over
Huo ndio mpango mzima. Nalog offnajiokoa nafsi yangu kwanza, mengine yatafuata baadae.
Sasa my wife wako utamsomea kesi gani? Nalog offHamna kupunguza kasi hapo.Unakuwa na kasi kama ya UMSLOPOGAS!Unapiga kumbo wale hadi waende chini.Wakati watu wanashangaa binadamu wawili wanavyoenda chini wewe unaendeleza mbio ndefu lakini kwa speed ya mbio fupi kama Filbert Bayi.Hapo utakuwa umefanikiwa mambo mawil:
1.Utakuwa umetibua program ya mla denda.
2.Utakuwa umepunguza kasi ya mkimbizaji wako maana hata yeye itabidi abaki kushangaa akidhani wewe ndiye ulieanguka.
Mambo ya kesi na my wife wako baadae nyumbani huko.