Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
- Thread starter
-
- #41
Ina maana unakwenda nje kwa kudhani kuwa mumeo naye anatoka? Nalog offIngekuwa mimi ni man, ningesahau nafukuzwa ili nikamshughulikie mgoni wangu!
Ndivyo wanaume wanavyofikiria kuwa wanaweza kula vya watu ila vyao haviguswi lol
Hahahaha wameshajibu,vipi umeridhika na majibu? Nalog offHaya wanaume mko wapiiiiiiiiiii au tuwasaidie kujibu? msione sooooooooo hamtoonekana wazinzi nyie jibuni tuu bila wasiwasi!!!!
Analipa hapahapa duniani. Nalog off
Maumivu ya bi dada. Nalog offUnalipwa huku unaona, hakuna maumivu hapo.
Umeona eh! Yaani mabalaa kwa mpigo. Nalog offhahahahahahah JF kuna mambo kwa kweli
utakuwa mtu mwenye ma mabalaa kuliko
wote kwa kweli . mikosi miwili kwa mpigo loh
Binafsi sijui nita react vipi .....
ukiwaza kidogo Je ni vema kwenda kumpiga yule jamaa na
wakati maisha yako yapo mikononi mwa mtu mwengine.??
Ni sawa na mtu amevunjika miguu huku anawambia mwingine
nikisimama utaona che mtema kuni...
Hahahahaha yaani ukiinama unakuwa umepunguza kasi na jamaa anaweza kukukamata. Nalog offNingeinama niokote jiwe nimtangwe mgoni wangu halafu nikimbie. Nisingekubali nimpite hivi hivi.
Hahahaha unamaanisha K haina makombo? Nalog offEee bwnaee biashara hapo kwnz nijiokoe mie ! Nikilemaa nadedishwa! Huyo anaem'ngata my wife c ndy ntakua nimemuachia bingo? Aanze kumsukumia mpini km hana akili nzr! Mi nasevu kwnz, najua my wife ki2 yake ni asset (unmovable) ni km njia ya meli haiachi alama!
Hahahahaha yaani ukiinama unakuwa umepunguza kasi na jamaa anaweza kukukamata. Nalog off
Eee bwnaee biashara hapo kwnz nijiokoe mie ! Nikilemaa nadedishwa! Huyo anaem'ngata my wife c ndy ntakua nimemuachia bingo? Aanze kumsukumia mpini km hana akili nzr! Mi nasevu kwnz, najua my wife ki2 yake ni asset (unmovable) ni km njia ya meli haiachi alama!
Umeona eh! Yaani mabalaa kwa mpigo. Nalog off
He! Mbona yanatokea zaidi ya hayo! Nalog offI hope haya ni maongezi tu hayataa kaa ya tokee...
Mr. Na log off......
Hahahaha ukifa jamaa atakuwa anajimegea kisela. Nalog offmkuu, moyo huyo mwenzio sina. Hata hizo nguvu za kukimbia zitapotea ghafla. Sipo tayari kushuhudia my wife akifanyiwa mchezo ninao fanya nae tu. Haki ya mungu bora nife.
Kufa ni kama kulala tu. Nalog offbora kufa kuliko kumuacha mke wangu akiwa matatani.
Hapo najitoa mhanga kama al-shaabab. Naokota jiwe.