Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Muziki wa Tanzania una wanamuziki wenye uwezo mkubwa lakini muziki wetu hauendelei mbele kwenye mataifa mengine kwa sabau hakuna ushirikiano baina ya wasanii. Naamini wasanii wa kishirikiana wanweza kusaidiana kuupeleka muziki wa Tanzania level za kimataifa.
Je, Wasanii gani wa Tanzania ambao hawajawahi kufanya 'Collabo' na unatamani wakutane studio pamoja?
Je, Wasanii gani wa Tanzania ambao hawajawahi kufanya 'Collabo' na unatamani wakutane studio pamoja?