Unguja: Kijana ajaribu kujiua kwa kujinyonga

Unguja: Kijana ajaribu kujiua kwa kujinyonga

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Mjini Unguja Kijana Mmoja Leo Asubuhi alijaribu kutaka kujiuwa kwa njia ya kujinyonga Lakini baadhi ya ndugu zake wamuokoa. Walikuwa wanamuogopa kumuokoa ana kisu hapo alisema mtu akija kumkamata atamchinja ninahisi atakuwa na maradhi ya akili huyu.




 
Kujinyonga ni kipimo cha udhaifu mkubwa wa binadamu..
Nikipimo cha roho nyepesi na dhaifu.

Hicho kisu ilikua ni sehemu ya mkakati, mambo yakizidi akate kamba,
Akichoropoka hapo, hatorudia huo upuuzi.
Kama alidhani anaweza kukata kamba mwenyewe basi alikosea sana sana. Ukishajitundika huwezi kukata tena kamba. Mpaka mtu aje akate.
 
Kujinyonga ni kipimo cha udhaifu mkubwa wa binadamu..
Nikipimo cha roho nyepesi na dhaifu.

Hicho kisu ilikua ni sehemu ya mkakati, mambo yakizidi akate kamba,
Akichoropoka hapo, hatorudia huo upuuzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka kusema kaenda kujirusha baharini kabeba na life jacket? [emoji23][emoji23]
 
Hayupo serious huyo mla urojo, anajinyongaje kwenye kwenye mti mfupi hivo......shwain.
Au pengine ni igizo? Hicho kibeki cha mgongoni alichobeba kinaweza kuwa ndicho kilishilia uzito wake na siyo shingoni. Nilishaona mtu ameigiza kujinyonga na watu walidhani amejinyonga kweli. Inavyokuwa ni kwamba ile kamba anayotundika anaiteremsha inakuwa kama imenyonga shingoni kumbe kihasilia imeteremka mpaka kwenye mabega na uzito wa kuninging'nia unashikiliwa na mabega. Unajua kitendo cha kujinyonga mtu anaweza kufa kwenye muda wa sekunde moja tu kwani muda ule ule anapojining'iniza, mfupa wa shingo unavunjika ghafla.
 
Back
Top Bottom