Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
😂😂😂😂😂😂😂🙌Hayupo serious huyo mla urojo, anajinyongaje kwenye kwenye mti mfupi hivo......shwain.
Kwenye kujinyonga, unyayo ukiwa juu ya ardhi hata kwa milimita 1 unakufa.Hayupo serious huyo mla urojo, anajinyongaje kwenye kwenye mti mfupi hivo......shwain.
Kama alidhani anaweza kukata kamba mwenyewe basi alikosea sana sana. Ukishajitundika huwezi kukata tena kamba. Mpaka mtu aje akate.Kujinyonga ni kipimo cha udhaifu mkubwa wa binadamu..
Nikipimo cha roho nyepesi na dhaifu.
Hicho kisu ilikua ni sehemu ya mkakati, mambo yakizidi akate kamba,
Akichoropoka hapo, hatorudia huo upuuzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kujinyonga ni kipimo cha udhaifu mkubwa wa binadamu..
Nikipimo cha roho nyepesi na dhaifu.
Hicho kisu ilikua ni sehemu ya mkakati, mambo yakizidi akate kamba,
Akichoropoka hapo, hatorudia huo upuuzi.
Au pengine ni igizo? Hicho kibeki cha mgongoni alichobeba kinaweza kuwa ndicho kilishilia uzito wake na siyo shingoni. Nilishaona mtu ameigiza kujinyonga na watu walidhani amejinyonga kweli. Inavyokuwa ni kwamba ile kamba anayotundika anaiteremsha inakuwa kama imenyonga shingoni kumbe kihasilia imeteremka mpaka kwenye mabega na uzito wa kuninging'nia unashikiliwa na mabega. Unajua kitendo cha kujinyonga mtu anaweza kufa kwenye muda wa sekunde moja tu kwani muda ule ule anapojining'iniza, mfupa wa shingo unavunjika ghafla.Hayupo serious huyo mla urojo, anajinyongaje kwenye kwenye mti mfupi hivo......shwain.
Sasa anajinyongaje miguu ipo ardhini, asitufanye sie watoto....Kwenye kujinyonga, unyayo ukiwa juu ya ardhi hata kwa milimita 1 unakufa.