Unicef gs5

Unicef gs5

Mshahara wa unicef gs5 ni kiasi gani?

GS5 step gani? maana inaanzia step 1 na kuendelea zaidi ya step 10. na mshahara ni tofauti kwa kila step, yaani higher step=higher salary. Na step yoyote utakayoanzia, kila mwaka unapanda step nyingine..

Cheki hiyo link hapo chini ni salary scale ya GS posts (kila mwaka UN wana-update salary scale kwa D, P and GS posts)

UN Salaries-Tanzania

kuna spreadsheet yenye salary figures & allowances kutokana na levels mbalimbali pia steps zake.
[TABLE="width: 161"]
[TR]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Back
Top Bottom