GS5 step gani? maana inaanzia step 1 na kuendelea zaidi ya step 10. na mshahara ni tofauti kwa kila step, yaani higher step=higher salary. Na step yoyote utakayoanzia, kila mwaka unapanda step nyingine..
Cheki hiyo link hapo chini ni salary scale ya GS posts (kila mwaka UN wana-update salary scale kwa D, P and GS posts)