Kwani kuna roho bila mwili???Katika vyote huwa hachezewi mtu ila kichezewacho ni hisia na roho za watu ambazo hutiwa majaribuni. Mengineyo huwa ni matumizi ya viungu husika vya uzazi sema matumizi hayo yanapotupiwa mikoni mwa watu wasio sahihi ndipo tunasema umechezea mtu yaani hisia zake ulizoziamsha na kushindwa kuzitunza.
From where I stand naona kama yes...Teh hapo sawa....
BTW: Kongosho anataka nini??? Kachezewa?
Ha ha ha, afu ukome kunichezea.
Nakupiga chini.
On a serious note, naenda kumtukana huyo cheater.
From where I stand naona kama yes...
Kwani kuna roho bila mwili???
Mjumuisho wa vyote ndo vinafanya mtu
Teh teh miili inaweza kuzima..we jaribu kusex na mdada halafu awe hajafika kileleni umuache uone atakavyokuona kilazaSo hivi kwani yale madudu yanapoungana kinachofanyika pale ni mchezo au ndo function yake? Kwani ukiachwa yanaumia au kinachoumia ni roho na ubongo?.
wanawake wakiwa wadogo sana au wakubwa sana....ivi dunia hii bado kuna haya majibu....
Wakat niko primary ndo nilikua nayasikia haya..