Jambo!
Wana JF, heshima kwenu! Napenda kupata details za hii kampuni ya Uniliver (I know its a multinational company) especially range ya salary zao na mabenefits mengine? Pia mazingira ya kazi zao?
Najua hapa jamvini ni full kwa kila kitu.
Naomba kuwasilisha.