Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Hi Mwanakijiji
Vista Ni Nzuri Na Software Karibu Zote Sasa Hivi Zina Support Windows Vista Bila Shida Yoyote Ile .
Lakini Kabla Hujafanya Maamuzi Hayo Tafadhali Angalia Kama Utapata Driver Muhimu Kwa Ajili Ya Hiyo Model Yako Ambazo Zitasupport Windows Xp Kama Sound , Graphics And Network Pamoja Na Chipset
Au Jaribu Kuwasiliana Na Duka Ambalo Umenunua Kama Wanaweza Kukutafutia Driver Hizo Kama Katika Tovuti Ya Computer Husika
Jioni Njema
Nimepata computer mpya kwa ajili ya KLHN na kama nilivyodokeza zimekuja na Vista.. lakini Vista sucks! Sasa nataka niitoe na kuweka XP... mnasemaje? kuna adjustment kubwa nahitaji kufanya au naweza kuziua..?
Mkuu, kwanini huipendi Vista?
Sasa kabla hujaanza hii shughuli inabidi ufanye backup katika HDD ambayo pia unataka kuinstall XP hivyo uwe na CD original za XP kabisa tena kwa kila computer.
Anyway, itabidi ufanye installation ingine ya XP na HDD yako itakuwa na sehemu mbili yaani ya Vista na ya XP.
Hii nadhani unafahamu inaitwa Pertition na kwa vile computer zako zimekuja mpya na Vista basi karibu sehemu kubwa 100% ya C: drive imechukuliwa na Vista.
Only Windows Vista Business and Ultimate have the full image backup features. The rest do still have a backup but it will only take care of documents and not the programs or operating system. All is not lost however. Many companies such as HP have a one time image back that you can use.
(HP only)
To use the HP One time image backup simply click the Windows start button and browse to the "PC Help and Tools" folder. Then select "Recovery Disc". This will create a full backup of your computer including programs. Keep the discs in a safe spot and read on for further info.
Nimepata computer mpya kwa ajili ya KLHN na kama nilivyodokeza zimekuja na Vista.. lakini Vista sucks! Sasa nataka niitoe na kuweka XP... mnasemaje? kuna adjustment kubwa nahitaji kufanya au naweza kuziua..?
Nigga u ryt!... Vista sucks.
I use XP and Ubuntu.
what to do?
backup driver zako. mara nying zikuuepo c:/swsetup. au tumia software kufanya backup! bila kusahau mafile yako.
then format the complicated user interface vista!.... XP is the best!.
Second. There is no point you can have XP and Vista on the same computer as longer as you have installed vista. mechanism is you have to start lower operating system before the higher.
Not entirely true.
.
is it ? let us not go into details but go dipper and find out. you can have dual boot of both XP and VIsta but installation procedure is you have to start XP then Vista.
As I know dual boots OSś are using the same initialization files except locations where the root directories are located and when you want to have dual OS you actually not boot from the CD but from the existing OS.
Lazy dog i doughty your competence in this industry.