Unique sisters wako wapi?


Dah, umenikumbusha nyimbo za zamani sana, wimbo wa soggy ulitoka 1999
 
Mmmhhh mkuu usiwe unachanganya wimbo wao waliomshirikisha MAc Dee unaitwa Bounce usiku bado mchanga mbalamwezi inawaka alikuwa anautwanga sana DJ JD.

No nina uhakika waliimba na Hasheem Dogo nyimbo ilikuwa inaitwa sikiliza.. Beat yake Fredwaa alikua anaitumia kama opening na background ya show yake ya ijumaa usiku.. Kumbuka hii mistari ya Hasheem .. Mi kuna mwanamke mi ananipa kiwewe yani mchana akikosa usiku najihukumu mwenyewe sumu asipewe na mwanaume mwingine anatema ndio maana naona bora nitie nanga mapema.
 

Aiseee nimeukumbuka ni kweli Hashim Dogo da wa long sana huo wimbo,Aboubakar sadiq au DJ JD wanazo hizo stocks.
 
I think ulimaanisha 'yao ming' yule ni mchina kama sikosei.
Aah bana amekaa kichina china na kijapenga japenga sijui muasia nusu mi sijui wee si ndo unawajua hao basketballers...
 
Hao wadada walikuwa poa Sana, juzi nilimuona mmoja amezeeka Sana Na mvi juu pia alikuwa Na mjukuu wake mdogo
 
Hao wadada walikuwa poa Sana, juzi nilimuona mmoja amezeeka Sana Na mvi juu pia alikuwa Na mjukuu wake mdogo
KIPOZI sisters Nadhani the eldest atakuwa around 40 or less ....sidhani kama kweli watakuwa na wajukuu ......
 
Mmh, kumbe they are old, thought walikua wanamaliza 20's kuingia 30s
And who is kipozi.?QUOTE="Phillemon Mikael, post: 16270896, member: 504"]KIPOZI sisters Nadhani the eldest atakuwa around 40 or less ....sidhani kama kweli watakuwa na wajukuu ......[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…