Sanda Matuta
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 949
- 142
Salamu ni nuru humuangaza ajuwae,
salamu ni ngazi humpandisha daraja atamkae,
salamu ni zawadi hufurahi apewae,
salamu ni mawardi hunukia imfikae
Mungu akupe furaha maisha yako,akupe taa katka amali zako.atie barka katika rizki zako azidishe upendo ndani ya moyo wako akuzidishie subra maishanimwako!
...Shyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy....Ni last born kwenu nini??? Mtundu sanaMungu akupe furaha maisha yako,akupe taa katka amali zako.atie barka katika rizki zako azidishe upendo ndani ya moyo wako akuzidishie subra maishanimwako!
...Shyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy....Ni last born kwenu nini??? Mtundu sana
''The desire to fabricate content to attract people's attention is a possible result," Zimmer said, ''like a 6-year-old who exaggerates about something on the playground to impress and gain friends."
Shy, what you're doing is known as "content scraping"
Nimeona watu wakikushauri lakini mwenzetu bado umeing'ang'ania tabia hii.
Mtu anapo-copy article ya mwingine bila kuonyesha reference ya original source, that is one thing. Inapotokea ume-copy n' paste maneno au idea ya mwingine ionekane ni ya kwako - that is so unethical.
What I am trying to say here is that, this is not tolerable. Na kama kuna mwingine anafanya haya hajashtukiwa, well - habari ndiyo hiyo!
Kwenye hili bandiko nimeonyesha content ipi nimeinakili mahali.
zanzibarwebsite
.
Ku copy na kupaste humu...baada ya kutoa sehemu nyingine,kwanza ni ujanja...unawawafanya watu watafute...uliko toa....kwa akili yao.
Pili pengine uko mwenzetu uliko toa na kusema ndiko aliko copy inaweza ni yeye kachangia uko kwa jina jingine...sik kila mtu ana uhuru wa kutembelea web nyingine...
I Am Just thinking different from others.
Ok. !
I see.....
Mkuu LD,
Je unahushahidi wa hizi accusations?,na kama ndivyo ninaomba nijue anatoa wapi hizo beti.
Na kwa Mkuu wangu SHY jitetee............!
Hiyo link ya zanzibarwebsite umeiona?
.
Hiyo link ya zanzibarwebsite umeiona?
.[/QUO
NIME KUSOMA MKUU!
KAZI ZA WATU ZINA FANYIWA MCHEZO LABDA AJE NA SABABU ZAKE..........
Mapishi Kati ya mapishi yote, yale nime wahi onja, Ni siagi kwa mkate, au nyama ya karanga, Kwelini vyakula vyote, vina enda kwa mchanga, Shairi ndo' mapishi, bora tu kuliko yote. Ni bora kuliko yote, hekima yakupatia, Ku kujuza mambo yote, yale yata kufikia, Kuishi na watu wote, wasiweze kuchukia, Hekima kitu bora, mapishi ya kishairi
[B said:shy;269233]Hi Kalalangambo Pls Call 0713421045 Ask For Shazi He Can Help You Just Explain[/B]