Sanda Matuta
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 949
- 142
- Thread starter
-
- #21
Mimi ndio niliyaweka hayo mashairi kule zanzibarwebsite kwahiyo msiwe na wasiwasi na hilo
Mimi ndio niliyaweka hayo mashairi kule zanzibarwebsite kwahiyo msiwe na wasiwasi na hilo
Hapana they never
lakini kuna virus zinashambulia folders ambazo ziko katika removables kama flash na external hdd , so unzip bila kuangalia virus anaingia na inaweza kufutwa na antivirus ingawa inawezekana kurudisha baadaye
Kuuliza Si ujinga, musinifanye jahili
Nautafuta niuwanga, tuzinduwane akili
Ndipo shairi hatunga, kubaleghesha suali
Ndio niliandika jibu hilo au unapenda lingine - nijulishe kabla sijaenda kulala
Naliiweka yangu beti,kusema yangu ya dhati.
Kumwuomba Ya-Maliki,aujaze moyo ithibati.
Kwa salaam kudiriki,Nikaanza bila ya mikiki.
Kwa mpenzi wadhati,kwa jina Unique.
La-aziz wa ubani,nyonda mkalia ini.
Kuna jambo natamani,mpenzi uli-baini.
Sitaki weka moyoni,kwani huko kizani.
Moyo ni kichakani,hujui lililo ndani.