Jamani shirika la umoja wamataifa linalojihusisha na chakula na kilimo limetangaza nafasi kama nilivyo atachi hivyo jitokezeni kuomba natutoe kasumba kwamba kazi za un nizakujuana sikweli kwani panel niwatu kuanzia 14-----20 sasa sijui utashikwa na wangapi hivyo jaribu usioope kutuma may be ni wewe ukipata ni tumie shukurai kwa Ku-nipm asante, ninawatakia kila laheri na nikipata nitawawekeeni kwenye JF yetu.:A S-coffee: