United Nations Vacancy

Thanx kaka, ila hio kwa hisani ya watu wa marekani:becky:
 
hizi kazi ni za wale walio teyari katika 'system'...:confused2:
 
P6? katika Un salary scale mwisho P5 then zinaanza director levels D1, D2 hii imeanza lini sijawahi sikia
 
hizi kazi ni za wale walio teyari katika 'system'...:confused2:
sasa wewe kama ndo unatoka chuo hawataki kwani wewe umeona ngazi yake??
 
kazi kwa tuliomaliza vyuo vikuu tu hakuna? mpaka uwe na tani nzima ya experience!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…