Shukrani sana kaka kwa hizi vacancies ulizotundika hapa jamvini.
Naomba usikate tamaa, tunazifanyia kazi, na tumekuwa tukipeleka huko cv zetu.
Mungu akipenda tutaitwa na tutaujulisha umma wa hapa jamvini.

Thanks so much Mkuu,, this is great indeed I am looking for an opportunity in Shinyanga na nina bachelor ya Social Sciences and Postgraduate ya Public Health. Kindly keep the adverts posted.