GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,013
Huu muungano bado hatujaridhishwa nao, kwa maoni yetu tumependekeza muungano wa mkataba, kila upande wa muungano kuwe na mamlaka kamili ya kujiamulia mambo yake, hayo ndo maoni ambayo tulio pendekeza kwa upande wa zanzibar.
Warioba ametuletea serikali tatu.
Jamuhuri ya TANZANIA BARA
Jamuhuri ya watu wa zanzibar
Jamuhuri ya muungano wa tanzania
Mambo ya muungano.
Uwepo wa Jamuhuri ya muungano wa tanzania
Uraia na uhamiaji
ulinzi na usalama
Mambo ya nje
Vyama vya siasa
Ushuru
Sarafu na bank kuu
Mambo haya ndio jamuhuri yenyewe, haya ndio kero ya miaka 50 ya muungano, badu tunaendeleza kero za muungano na kutukosesha usingizi.
Tunakuja na mjadala katiba mabaraza ya katiba
Jina la muungano litambulike kama- United of Tanzania and zanzibar- Muungano wa Tanzania na zanzibar
Washirki wa muungano watajulikana Kama, Jamuhuri ya Tanzania Na Jamuhuri ya watu wa Zanzibar
Mambo saba ambao ya muungano tutayapigania yaondolewe katika orodha ya muugano, tutajadili suala la ushirikiano tu baina yetu.
J