Wakati mwingine hizi certification ni muhimu kuliko mshiko kwa sababu zinakimbiza makampuni uchwa yanayotaka kufanya kazi na muhusika huku zikiongeza thamani ya endorsement!Ni tuzo tu au na mshiko mkuu?
Alipewa kwa wimbo upi?Hongera Naseeb .Ila sio kweli Ali kiba naye Alisha pewa
Sio kweli kivipi?! Au huyo Ali Kiba nae alipewa nini?!Hongera Naseeb .Ila sio kweli Ali kiba naye Alisha pewa
Alipewa kwa wimbo upi?
Usije kuwa unachanganya mambo
Kumbe ulishawahi kuuliza!! Akikujibu utani-tag basi manake anaonekana wazi anachanganya madesa yasiyo na uhusiano hata chembe!!Alipewa kwa wimbo upi?
Usije kuwa unachanganya mambo
WASHAPEWA MOYO NA MKUBWA WAO NYUMBU MANGE NA WENZAKE,WAMEAMINISHWA KUA KIBA ALISHACHUKUAKumbe ulishawahi kuuliza!! Akikujibu utani-tag basi manake anaonekana wazi anachanganya madesa yasiyo na uhusiano hata chembe!!
Fiesta ni ya wasanii chipukizi, na wale watawi ya chiniSiriaz question
Diamond hakuwahi kashiriki fiesta ??
Embu tutafsirie basi mkuu ×1Platnum inamaanisha nnAISEE HUYU JAMAA ANA BALAA.KILA KUKICHA ANAUWASHA MOTO....6XPLATINUM ni mauzo makubwa mnoooo.
Kutoka universal?Kiba alipewa kwa sababu ya kufikisha views million tano ndani ya miezi sita youtube na diamond kapewa kwa sababu nyimbo yake imefikia mauzo ya platnumz Mara sita (40000*6 sawa 240000*$1 sawa na kuingiza $240000 ambayo ni sawa na milion 500 kwa nyimbo moja ya marry you).NB platinum kwa south Africa ni sawa na copy 40 elfu (mtanirekebisha ).
Hahahhahahahhahahaaaaaa my ribssisi tupo busy na fiesta tunazunguka kwenye basi moja kama mbuzi
Oh!! Kumbe wameambiwa na Mange!!!WASHAPEWA MOYO NA MKUBWA WAO NYUMBU MANGE NA WENZAKE,WAMEAMINISHWA KUA KIBA ALISHACHUKUA
SI UNAJUA MTAA WA PILI SI WATU WA MUSIC,NI MAJUNGU KWA KWENDA ELE,NDO MANA OFISI ZAO NI SIMU ZAO NA SMARTPHONE HUKO INSTAGRAM HATA MUDA WA KULIPA KODI WANAO SASA WAKATI WANAISHI KIUJANIAUJANJA TU,WAANDIKE MAZUR AU MABAYA YA DIAMOND WAENDELEE KULA MUJINI
Sony Music...Kutoka universal?