University assignments collection.

Mkuu LORDVILLE kwanza nikutake radhi sikukusudia kukukwanza kwani ninaposema wasomi hata mimi sikujitendea haki. Na comments yangu ilimlenga mtoa hoja na wale wenye tabia kama zake na sio wasomi wote. Nisamehe sana mkuu
sawa mkuu...nimekuelewa!!!
 
Jamani hi elimu si rahisi hivyo kama unavyofikiri....komaa kichwa mwanangu...vinginevyo wpe taarifa kijijini wakutafutie shamba.
 
Plagiarist

ha ha ha mkuu vyuo vya bongo sasa hivi vinatakiwa kuweka budget kwa ajili ya kununua ile software ya turntin kucheki plagiarism nakuambia wanafunzi watatafutana na hizo project utasikia watakavyokuwa wanadisco kwa ajili ya kucopy kazi za wengine. wenzetu wanatumia hiyo software hakuna kuremmba,
 
Halafu anaomba assigment hajaspecify ni aina gani? Uchumi, Sheria, Sociology, Uhasibu n.k. kweli huyu ni zaidi ya kilaza wa University, huyu inabidi tumuite MBULULA; nahisi hawa ndio wale waliofaulu la darasa la saba wasiojua kusoma na kuandika, form wakapewa majibu yote, form six wakapewa majibu yote na sasa yupo chuo anatumia mbinu zile zile alizotumia madarasa ya chini. Dah! tuendako inabidi Tanzania iwepo kwenye maajabu saba ya Dunia. Halafu akipata hiyo degree ataomba kwenda kusoma master, then atataka PhD.
 
hey guys si kwamba nataka kucopy na kupaste its just that nataka nione mawazo za wa2 wengine ili nipanue knowledge nadhan mi ndo niwe mfano kuanza kutundika vi2


Mawazo yako mengi kwenye vitabu library hapo chuoni kwako. Ukitaka vyepesi...google, ila Lecturer mjanja atakukamata tu. Lecturers na Profs makini wanaangalia google na Wikipedia kabla ya kusahihisha assignment kwani wanajua hii ndio chakula ya wanafunzi wavivu. Wanafunzi baadhi u-copy na ku-paste bila hata editing. Kwa vyuo makini ukifanya hivyo ni O -ZERO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…