University multi-practical skills training program 2012.

University multi-practical skills training program 2012.

Kayoka

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Posts
2,262
Reaction score
1,956
Team ya wakufunzi wa mambo ya mafunzo mbalimbali kuhusu biashara, ujasiliamali, huduma kwa mteja, mbinu za kimasoko na namna ya kuanzisha miradi leo kuanzia saa 3 mpaka 11 jioni wapo hapa CHUO CHA MTAKATIFU AUGUSTINO wakitoa mafunzo kuhusu mada tajwa hapo juu wawasilishaji mada ni ndugu James Mwang'amba, Martin Kaswahili na Milan Divecha toka EAST AFRICA PRODUCTIVITY TRAINERS Ltd.
Lengo ni kuwajengea uwezo wanavyuo wote namna ya kukabiliana na changamoto za ajira na kujiajiri wenyewe.
Wote mnakaribishwa
 
Nitawajuza yote yatakayojiri kwenye haya mafunzo.
Lively update mtazipata.
 
Back
Top Bottom